Msaada wa Matibabu: Rahab Kabura anahitaji shilingi milioni 1.8 kwa upasuaji wa moyo

  • | KBC Video
    20 views

    Familia moja katika eneo la Kanunga Gatanga, kaunti ya Muranga ,inataka usaidizi wa kifedha ili kumwezesha mama yao, Rahab Kabura, kufanyiwa upasuaji wa moyo . Rahab ambaye anaugua ugonjwa wa moyo amekuwa akitafuta matibabu hospitalini mara kwa mara, hali iliopelekea familia hiyo kukosa rasli-mali . Mama huyo sasa anatoa wito kwa wasamaria-wema kusaidia kuchangisha shilingi milioni 1.8 zinazohitajika kwa upasuaji wa moyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News