- 59,426 viewsDuration: 1:17Rais Samia ameielekeza pia ofisi ya Mwendesha Mashitaka wa Serikali kuchambua mashitaka yanayowakabili watuhumiwa wa machafuko hayo na aidha kuwapunguzia mashitaka ama kuwaondolea kabisa wale watakaobainika kufanya makosa hayo kwa kufata mkumbo. - - #bbcswahili #uchaguzi2025 #raissamia #siasa #maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw