Skip to main content
Skip to main content

Msamaria mwema amjengea nyumba ya kudumu mwanamume aliyekuwa anaishi kwenye banda, Tharaka Nithi

  • | Citizen TV
    470 views
    Duration: 54s
    Erickson Gitonga amekuwa akiishi maisha ya upweke baada ya kuhusika kwenye ajali ya barabarani na kukosa makao bora. Lakini hii leo atapata usiku mnono katika nyumba yake mpya baada ya msamaria mwema kujitokeza na kumjengea nyumba ya kudumu.