Msasa wa Makamishna IEBC

  • | Citizen TV
    224 views

    Mahojiano ya kuwatafuta makamishna wa tume ya uchaguzi nchini IEBC yanaendelea kwa sasa, kwenye zoezi linalotarajiwa kukamilika hii leo. Stephen Kibet na Charles Kipyegon ni kati ya wanaohojiwa leo, wakiwa kati ya watu 6 walioongezwa kwenye orodha ya mwisho ya kamati ya kuwasaili wanaotaka kujaza nafasi za kuhudumu kwenye tume ya IEBC iliyozua utata.