Msasa wa makamishna wa IEBC

  • | Citizen TV
    142 views

    Msasa wa makamishna wa iebc unaendelea ambapo Farida Abdalla Soud Sheikh kutoka Mombasa amekuwa wa kwanza kuhojiwa hii leo. kamati ya uteuzi ambayo itawahoji watu mia moja na kumi na mmoja na kuwateua watakaojaza nafasi sita za makamishna wa iebc kwa sasa inamhoji Fatuma Mohamud Mohamed kutoka Garissa. wengine watakaohojiwa leo ni pamoja na Francis Odhiambo Aduol, Fredrick Odhiambo Orego na Geoffrey Peter Mulli Wasua.