Msasa wa makamishna wa IEBC

  • | Citizen TV
    113 views

    Msasa wa makamishna wa iebc unaendelea ambapo Farida Abdalla Soud Sheikh kutoka Mombasa, Fatuma Mohamud Mohamed kutoka Garissa, na Francis Odhiambo Aduol wamehojiwa. kamati ya uteuzi ambayo itawahoji watu mia moja na kumi na mmoja na kuwateua watakaojaza nafasi sita za makamishna wa IEBC itawahojiwa Fredrick Odhiambo Orego na Geoffrey Peter Mulli Wasua alasiri.