Msasa wa makamishna wa IEBC waendelea

  • | Citizen TV
    102 views

    Msasa wa makamishna wa iebc unaendelea ambapo Eliud Wanjao Ngige kutoka Kirinyaga amekuwa wa kwanza kuhojiwa hii leo. kamati ya uteuzi imeongezwa siku kumi na nne zaidi ili kukamilisha kuwahoji watu mia moja na kumi na mmoja na kuwateua watakaojaza nafasi sita za makamishna wa iebc. wengine watakaohojiwa leo ni pamoja na Erastus Edung Lokaale Ethekon, Esther Nanjala Wekesa, Ezekiel Kibett Tanui na Fahima Araphat Abdallah.