Bodi ya maziwa ya Kenya yakamilisha utaratibu wa kuweka viwango vya bei za chini za kuuza maziwa

  • | KBC Video
    17 views

    Bodi ya maziwa ya Kenya imekamilisha utaratibu wa kuweka viwango vya bei za chini zaidi za kuuza maziwa mashambani wakati wa msimu ujao wa mvua ya masika.Mwenyekiti wa bodi ya maziwa nchini Genesio Mugo anasema bei ya chini zaidi ya kuuza lita moja ya maziwa kwa shilingi 50 ingalipo hadi wakati bei mpya zitakapoidhinishwa na wizara ya kilimo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive