- 79 viewsDuration: 3:47Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei anatoa wito kwa maafisa wa uhifadhi wa kumbukumbu na wataalam wa teknolojia ya habari na mawasiliano kufanyia marekebisho mifumo iliyopo na kujiandaa kwa taratibu mpya za viwango vya dijitali tayari kwa uanzilishi wa uhifadhi wa kumbukumbu kielektroniki.Kwa habari hizi na nyingne hapa ni mseto wa habari za kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive