Mseto wa Taarifa za Biashara

  • | KBC Video
    18 views

    Serikali itaanzisha mpango wa thamana utakaowasaidia wakulima kupitia unyunyuziaji mashamba maji kupata mikopo. Waziri wa maji Eric Mugaa anasema kuwa mpango huo utawasaidia wakulima wadogo kununua vifaa vya unyunyuziaji mashamba maji na pembejeo za kilimo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News