Mshikemshike Todoyang : Wasiwasi ungalipo baada ya shambulizi

  • | KBC Video
    5 views

    Hali ya taharuki bado imeghubika eneo la Todanyang' Kaskazini mwa kaunti ya Turkana kufuatia shambulizi la siku ya Jumamosi ambapo watu kadhaa yasemekana walifariki. Majangili wanaoaminika kutoka jamii ya Dassanach nchini Ethiopia walishambulia wavuvi katika ziwa Turkana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive