Mshukiwa Amutoa Mke Wake Wa Zamani Uhai Na Kujitia Kitanzi Limuru

  • | TV 47
    89 views

    Mshukiwa Amutoa Mke Wake Wa Zamani Uhai Na Kujitia Kitanzi Limuru

    Wingu la simanzi limetanda katika kijiji cha Kamandura Eneo Bunge La Limuru Kaunti Ya Kiambu, baada ya mwanaume mmoja wa umri wa makamo kudaiwa kumshambulia na kumutoa uhai kwa njia ya kinyama mwanamke aliyekuwa mke wake kisha naye kujitia kitanzi ndani ya nyumba aliyokuwa amepangishaa.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __