Mshukiwa mkuu kwa mauaji ya Sylivia Kemunto ajisalimisha kwa polisi Makueni

  • | Citizen TV
    4,533 views

    Mshukiwa wa mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu cha multi media anazuiliwa na polisi baada ya kujisalimisha katika kituo cha polisi cha sultan hamud kaunti ya makueni.