Mshukiwa mkuu kwenye mauaji ya wanawake watatu Eastleigh, Hashim Dagane akamatwa

  • | Citizen TV
    13,725 views

    Maafisa Wa Ujasusi Hapa Nairobi Wamemkamata Mshukiwa Wa Mauaji Ya Watu Watatu Mtaani Eastleigh Hashim Dagane Muhumed. Hashim Alikamatwa Baada Ya Kujisalimisha Alipokabilia Na Polisi Waliokuwa Wakimtafuta Eneo La Kamukunji. Na Kama Anavyoarifu Franklin Wallah, Mshukiwa Huyo Anahojiwa Na Dci Akisubiri Kufikishwa Mahakamani.