Mshukiwa mkuu wa jaribio la mauaji ya wasichana mjini Nanyuki afikishwa mahakamani mara ya pili

  • | Citizen TV
    418 views

    Mshukiwa mkuu wa jaribio la mauaji ya wasichana wawili mjini Nanyuki amefikishwa mahakamani kwa mara ya Pili huku mawakili wa waathiriwa wakitaka bodi aliyopewa ya shilingi milioni Moja kutupiliwa mbali