Video iliyochukuliwa na kamera inayovaliwa mwilini iliyobandikwa Jumatatu katika mtandao wa Facebook inaonyesha kukamatwa kwa mtu anayeshukiwa kwenye jaribio la kumuua Donald Trump.
Kanda hiyo ya video ilibandikwa na Ofisi ya Mkuu wa Polisi ya Kaunti ya Martin inamuonyesha Ryan Routh akitembea kinyumenyume huku mikono yake ikiwa kichwani pembeni ya barabara kabla ya kufungwa pingu na kuchukuliwa na polisi. Picha hizo zilitolewa na Ofisi ya Sheriff wa Kaunti ya Martin, Florida, maafisa wa polisi walimkamata Ryan Routh, mtu anayeshukiwa katika jaribio la kumuua Donald Trump, Jumapili, Septemba 15, 2024. (AP).
#trump #assassination #voa
21 Apr 2025
- As an at-times unwitting star on social media, Pope Francis knew how to exploit the internet to preach the gospel, broadening the Church's appeal while modernising its communications.
21 Apr 2025
- US Defense Secretary Pete Hegseth fought back Monday -- with White House support -- against another scandal over his reported use of Signal to discuss airstrikes on Yemen, this time with his wife, brother and lawyer.
21 Apr 2025
- President William Ruto will visit Beijing and meet with President Xi Jinping as reciprocal trade tariffs between America and Beijing deepen, and shockwaves in the aftermath of the tariffs rip through the global markets.
21 Apr 2025
- Some cardinals who are being talked about as "papabili" to succeed Pope Francis, whose death at the age of 88 was announced by the Vatican on Monday.