Mshukiwa wa mauaji ya mwanabodaboda Kabartonjo akamatwa

  • | Citizen TV
    472 views

    Polisi mjini Kabarnet wamefanikiwa kuupata mwili wa mhudumu wa bodaboda ambaye alikuwa ametoweka tangu Alhamisi, tarehe 17 Aprili