Mshukiwa wa mauaji ya Sylvia Kemunto ajisalimisha kwa polisi

  • | Citizen TV
    5,973 views

    Mshukiwa wa mauaji ya Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Multimediia ambaye aliripotiwa kuuwawa siku ya jumapili amejisalimisha kwa polisi. Mwili wa mwanafunzi huyo ulipatikana umetupwa kwenye tangi la maji. Inadaiwa kuwa mwili wa Sylvia Kemunto uliwekwa kwenye begi kabla ya kutupwa kwenye tangi hilo na mshukiwa mkuu akiwa mwanamume aliyeripotiwa kuwa mpenziwe. Ode francis ametuandalia taarifa ifuatayo