Mshukiwa wa ubakaji avamiwa na kuuawa Nyamira

  • | Citizen TV
    2,221 views

    Mshukiwa Wa Kisa Cha Ubakaji Huko Nyamira Alipigwa Hadi Kufa Na Kisha Kuzikwa Jana Usiku Baada Ya Kudaiwa Kuwa Alimbaka Mwanamke Wa Miaka 56. Wakaazi Wanasema Mshukiwa Huyo Mbali Na Kumbaka Mama Huyo, Pia Alimuua Na Kuuzika Mwili Wake Kando Ya Nyumba Yake. Kulingana Nao Mshukiwa Huyo Amekuwa Na Uzoezfu Wa Visa Vya Ubakaji Huku Pia Wakilaumu Vyombo Vya Usalama Kwa Kutokabiliana Na Mshukiwa Huyo Kisheria.