Mshukiwa wa ulanguzi wa bangi akamatwa Mlima Elgon

  • | Citizen TV
    1,119 views

    Mshukiwa Mmoja Wa Ulanguzi Wa Bangi Amekamatwa Na Maafisa Wa Nyumba Kumi Kwa Ushirikiano Na Chifu Wa Kata Ya Chesikaki Kwenye Msako Wa Kupambana Na Dawa Za Kulevya Na Pombe Haramu Eneo La Mlima Elgon.