Msimamo wa Kalonzo kuhusu ushuru

  • | K24 Video
    96 views

    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ameonekana kuunga mkono mipango ya waziri wa fedha John Mbadi ya kurejesha bungeni vipengee kadha kwenye mswada wa fedha uliotupiliwa mbali. Kalonzo, hata hivyo amesisitiza kuwa tatizo kuu ni ushuru unaokusanywa kutotumika ipasavyo