Msimu wa baridi kuendelea katika maeneo kadhaa nchini

  • | KBC Video
    62 views

    Idara ya hali ya hewa nchini, imetabiri hali ya baridi huku mawingu yakionekana na kutoweka katika baadhi ya maeneo nchini katika muda wa siku nne zijazo. Mvua inatarajiwa kuendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo ya nyanda za juu mashariki na magharibi mwa Bonde la Ufa, maeneo ya ziwa Victoria,Bonde la Ufa na Pwani. Haya yanajiri huku wakazi wa Nairobi wakiamkia hali ya kibaridi shadidi Jumatano katika mwezi ambao kawaida huwa na joto.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive