Msongamano magerezani watishia afya ya wafungwa

  • | KBC Video
    85 views

    Serikali kupitia idara ya urekebishaji tabia inafanyia marekebisho sheria muhimu ili kubuni mkakati mpya wa kisheria wa huduma za urekebishaji wa tabia katika kushughulikia changamoto zinazohusiana na utoaji wa huduma za afya kwa watu wanaozuiliwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive