Msongamano wa magari katika barabara kuu ya Nairobi kuelekea Nakuru hatimaye wapungua

  • | Citizen TV
    2,628 views

    Msongamano Wa Magari Katika Barabara Kuu Ya Nairobi Kuelekea Nakuru Hatimaye Umeanza Kupungua Baada Ya Siku Kadhaa Za Kukwama Kwa Wasafiri. Baada Ya Abiria Kulalamikia Msongamano Polisi Hatimaye Ameshika Doria Na Kuhakikisha Kuna Nidhamu Miongoni Mwa Madereva. Na Huku Siku Kuu Ya Krismasi Ikikaribia, Idadi Ya Wasafiri Inaongezeka Katika Vituo Vingi Vya Bas.