Msongamano wa wasafiri na uhaba wa magari ya usafiri wa umma washuhudiwa Kisii

  • | Citizen TV
    652 views

    Msongamano wa wasafiri na uhaba wa magari ya usafiri wa umma ulishuhudiwa kwenye steni mbalimbali za kaunti ya Kisii, huku madereva wakionywa dhidi ya kurundika wanafunzi kwenye magari.