- 63 viewsDuration: 1:00Msururu wa raga ya kitaifa ya wachezaji saba kila upande msimu wa mwaka 2025 utaisha wikendi hii, wakati wa raundi ya Dala ambayo itafanyika uwanjani Jomo Kenyatta Mamboleo, kaunti ya Kisumu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya