Huenda serikali za kaunti zikalazimika kuwasaidia wakulima kulipa malipo ya kimsingi kwa bidhaa zinazokosa masoko na bei ya kuridhisha. Mswada wa sheria ya malipo kwa bidhaa za kilimo, uliopo sasa mbele ya bunge la Seneti, unalenga kulinda sekta ya kilimo kwa kujumuisha malipo ya kimsingi kwenye mipango ya bajeti ya kaunti.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive