- 73 viewsDuration: 3:36Francis Kimani Mbigi ambaye ni mtaalamu wa mitambo ya redio katika shirika hili la KBC hatimaye amestaafu baada ya kulihudumia shirika hili kwa miaka 35. Hafla ya kumuaga iliandaliwa kwa heshima yake na wafanyakazi wa KBC, huku akisifiwa kama mtaalamu aliyefanya kazi yake kwa usahihi na ari kubwa na kuhakikisha matangazo yanawafikia wasikilizaji kwa njia ifaayo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive