Mtanzania mwenye asili ya Uingereza anavyopigania lugha ya Kiswahili

  • | BBC Swahili
    785 views
    Mwandishi wa vitabu na mtunzi wa mashairi Richard Mabala ameiambia BBC ni lazima kukubali kuwa lugha inakua hivyo maneno mapya yanazaliwa kutokana na namna vijana wanavyowasiliana sasa hayana budi kurasimishwa Mabala ambaye kwa asili ni rai awa Uingereza na sasa ni Mtanzania amekuwa moja ya watu wanaopigania Kiswahili kutumika kama lugha ya kufundishia nchini Tanzania ili kuwezesha wanafunzi kuelewa kwa urahisi Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds alizungumza naye na kuandaa taarifa hii #bbcswahili #kiswahili #sikuyakiswahili