Skip to main content
Skip to main content

Mtindo mpya ya wizi kwa kutumia magari ya kifahari Nairobi

  • | Citizen TV
    7,480 views
    Duration: 2:22
    Visa vya wizi vinaendelea kushuhudiwa hapa nairobi na viunga vyake huku wahalifu sasa wakitumia mbinu mpya kutekeleza wizi huo. Majambazi hawa wakitumia magari ya kifahari kuingia katika baadhi ya mitaa na kuiba kutoka kwa wakazi ambao hawako nyumbani.