Mtoto Shantel Kemboi anayeugua maradhi ya moyo asafiri India kwa matibabu

  • | Citizen TV
    323 views

    Hatimaye Familia ya mtoto wa mwaka mmoja unusu anayeugua maradhi ya moyo iko njiani kuelekea nchini India kwa upasuaji. Runinga ya Citizen ilingazia madhila ya mtoto Shantel Kemboi mwezi Februari baada ya familia yake kushindwa kumudu gharama ya matibabu na kuanika mapungufu ya bima ya afya ya kitaifa - SHA-. Brenda Wanga anaangazia safari ya matibabu ya mtoto huyo.