3 Nov 2025 10:24 am | Citizen TV 1,033 views Duration: 2:01 Familia moja kutoka eneo la Muyayi viungani mwa mji wa Bungoma inaishi kwa hofu baada ya kutoweka kwa mwana wao Caren Sikuku ambaye ni mwanafunzi wa gredi ya pili katika shule ya msingi ya bungoma DEB.