Mtoto wa miaka 2 anayesumbuliwa na maradhi adimu Gaza

  • | BBC Swahili
    613 views
    Mtoto wa Palestina Habiba al-Askari mwenye umri wa miaka miwili anaugua ugonjwa usio wa kawaida ambao unazuia kusambaza damu kwenye viungo vyake. Hali hiyo imesababisha mikono na mguu wake kuwa na rangi nyeusi sana. Madaktari wanaomtibu walisema anahitaji kupelekwa Gaza kutoka Jordan ili kuokoa maisha yake na baadhi ya viungo vyake #bbcswahili #afya #magonjwadimu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw