Mtu mmoja afariki baada ya kusombwa na mafuriko, Nakuru

  • | Citizen TV
    472 views

    Mtu mmoja amesombwa na mafuriko katika eneo la Eveready, Nakuru Magharibi kufuatia mvua kubwa iliyonyesha eneo hilo usiku wa kuamkia leo. Mvua hii ikisababisha hasara kubwa kwa wakaazi wa eneo la Kaptembwa, kama anavyoarifu