Mtu mmoja ajeruhiwa kwa risasi na KWS baada ya maandamano ya Brian Odhiambo

  • | NTV Video
    442 views

    Mtu mmoja anauguza majeraha ya risasi baada ya kudaiwa kupigwa risasi na maafisa wa Idara ya Wanyamapori katika eneo la Manyani, kaunti ya Nakuru, kufuatia maandamano yaliyofanyika kushutumu kupotea kwa Brian Odhiambo, anayedaiwa kutekwa nyara na maafisa hao.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya