Mtu mmoja anaswa na kitoa machozi kwenye zogo la uchaguzi wa ODM Kisumu

  • | Citizen TV
    778 views

    Mtu huyo alifumaniwa na wakazi eneo la Kodingo

    Polisi wanasa silaha kwenye uchaguzi wa ODM mashinani

    Uchaguzi uliahirishwa Embakasi East na East Kamagak