Muda wa kuhitimu kwa masomo ya ufundi utakuwa miezi tatu

  • | Citizen TV
    83 views

    Kuanzia mwezi Mei Mwaka huu, Mwanafunzi yeyote atakayejiunga na chuo cha ufundi nchini atasoma kwa miezi mitatu pekee na kukabidhiwa cheti cha kuhitimu, baada ya serikali kuanzisha mchakato wa kufupisha muda unaohitajika ili kufuzu kwa masomo hayo