Mume wa marehemu mwimbaji wa muziki wa injili wa Nigeria kunyongwa

  • | BBC Swahili
    824 views
    Mahakama Kuu huko Abuja imemhukumu Peter Nwachukwu, mume wa mwimbaji maarufu wa injili Osinachi, kifo kwa kunyongwa baada ya kupatikana na hatia ya mauaji. Hukumu hiyo, inatoka ikiwa ni miaka mitatu baada ya kifo cha Osinachi kilichotokea mnamo Aprili 8, 2022. #bbcswahili #Nigeria #injili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw