Murkomen adai vijana wanaomkosoa Ruto wana matatizo ya kiakili

  • | Citizen TV
    2,272 views

    Waziri Wa Usalama Wa Ndani Kipchumba Murkomen Amemtea Mkuu Wa Majeshi Yote Ya Ulinzi Wa Kenya Jenerali Charles Kahariri, Akisema Matamshi Yake Kwamba Wanaotaka Kumwondoa Rais William Ruto Lazima Wafanye Hivyo Kwa Mujibu Wa Sheria Hayana Lawama. Akizungumza Katika Kaunti Ya Meru Leo, Murkomen Alisema Vijana Wanaoikashifu Serikali Mitandaoni Wanakabiliwa Na Changamoto Za Afya Ya Kiakili, Ulevi Na Matumizi Ya Dawa Za Kulevya.