Murkomen asema serikali itaanzisha mchakato wa kuwakamata wanaopinga serikali mitandaoni

  • | Citizen TV
    11,051 views

    Waziri Wa Usalama Kipchumba Murkomen Amesema Kuwa Serikali Itaanzisha Mchakato Wa Kuwakamata Wote Wanaotumia Mitandao Ya Kijamii Vibaya. Akizungumza Katika Kaunti Ya Bomet, Waziri Huyo Amesema Kuwa Serikali Imenoa Makali Yake Kuhakikisha Kuwa Wote Wanaokamatwa Wamefikishwa Mahakamani Na Kushtakiwa Kauli Hiyo Ikiwiana Na Ile Ya Waziri Aden Duale Ambaye Pia Alizungumza Kaunti Ya Lamu.