Murkomen asema viongozi wa dini potovu wanasakwa

  • | KBC Video
    84 views

    Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen amesema wale wanaoendeleza itikadi kali watatiwa nguvuni kwa vile wanahatarisha maisha ya waumini wao. Murkomen alifichua kwamba kamati la baraza la mawaziri imepokea ripoti ya jopokazi lililoongozwa na Mutava Musyimi, ambayo ilipendekeza mageuzi kadhaa ili kutokomeza itikadi kali za kidini humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive