MURKOMEN ATAKA SHERIA YA IPOA KUREKEBISHWA KUFUATIA MAUAJI

  • | K24 Video
    52 views

    Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen amesema kuna haja ya kuangazia upya sheria ya IPOA ili kushughulikia madai ya mauaji na matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya maafisa wa KWS na KFS.