Murkomen : Itikadi zitakoma

  • | Citizen TV
    299 views

    Haya yakijiri, Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amesema vitengo vya usalama nchini vinaendeleza msako na oparesheni dhidi ya makundi yanayojijumuisha na Itikadi potovu. Akizungumza kaunti ya Makueni ambapo anahudhuria vikao vya usalama, Waziri Murkomen anataka raia kuwa waangalifu dhidi ya mafunzo na dini potofu, na kupiga kuripoti mara moja