Mutahi Kagwe apigwa msasa kuwa Waziri wa Kilimo

  • | Citizen TV
    1,133 views

    Mawaziri wateule Mutahi Kagwe wa Kilimo, Lee Kinyanjui wa Bishara na William Kabogo wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wanapigwa msasa na kamati ya bunge ya uteuzi ili kubaini ufaafu wao kabla ya kuidhinishwa kuanza kazi.