Muturi : Mimi sio mzembe kazini

  • | KBC Video
    108 views

    Aliyekuwa waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi amekanusha madai kwamba alikosa kuwajibika ipasavyo, hali iliyosababisha kutimuliwa kwake kutoka kwenye baraza la mawaziri. Muturi anadai kufutwa kwake kazini kuna uhusiano na madai ya utekajinyara pamoja na mauaji ya kiholela, masuala ambayo yalimfanya kusimama kidete na kuyakashifu dhahiri shahiri.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive