Muuga FM ikishirikiana na wakfu wa 'Naledi Initiative' waandaa kambi ya matibabu ya saratani

  • | Citizen TV
    132 views

    Stesheni Ya Redio Ya Muuga Fm Ikishirikiana Na Wakfu Wa Naledi Initiative Waliandaa Kambi Ya Matibabu Ya Saratani Katika Shule Ya Msingi Ya Kathwana Kaunti Ya Tharaka Nithi.