Muuguzi Ann Gachohi aastafu baada ya kuhudumu katika hospitali ya KNH kwa miaka 25

  • | Citizen TV
    1,120 views

    Kazi ya uuguzi kama kazi nyingine huwa na umuhimu mkubwa, na pia kama wahudumu wengi kuna muda ukifika ni lazima wanaoifanya kazi hii wastaafu. Muuguzi Ann Gichuhi ni mmoja kati ya wauguzi wakongwe anayehudumu katika hospitali ya rufaa ya Kenyatta. Na huku muuguzi huyu anapojiandaa kustaafu rasmi, kwake anajivunia huduma aliyotoa na hata mafunzo kwa wauguzi wachanga kwa takriban miaka 35 aliyohudumu. Mary Muoki alitangamana naye akiwa kazini na hii hapa taarifa yake