Muundo mbinu hafifu : Wazazi Garsen walalamikia mazingira duni ya masomo

  • | KBC Video
    6 views

    Wazazi wa shule ya msingi ya Bilisa katika wadi ya Garsen Magharibi kaunti ya Tana River wameelezea wasiwasi kuhusu muundo msingi duni kwenye shule huku maisha ya wanafunzi yakiwa hatarini. Wakiongozwa na mwakilishi wadi ya Garsen Magharibi, Mahmud Gabo, wazazi hao wamelalamika kuwa shule hiyo haina vyoo na ua na kwamba wanafunzi wanaenda haja vichakana. Wazazi hao pia wamelalamika kuhusu viwango duni vya elimu katika shule hiyo kwani wanafunzi hawana motisha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive