Muungano wa KMPDU wafutilia mbali mgomo uliokuwa umepangwa kuanza tarehe 22 mwezi huu.

  • | K24 Video
    46 views

    Muungano wa madaktari hapa nchini, KMPDU, umefutilia mbali mgomo uliokuwa umepangwa kuanza tarehe 22 mwezi huu. Uamuzi huu unafuatia kutiwa saini kwa makubaliano kati ya muungano huo na serikali ya kitaifa pamoja na za kaunti. moja wapo wa maswala yaliyokubalika ni malipo ya madaktari wanagenzi kama ilivyo katika mkataba wa makubaliano ya pamoja wa 2017.