Muungano wa upinzani waikosoa vikali serikali ya Kenya Kwanza

  • | K24 Video
    21 views

    Muungano wa upinzani ukiongozwa na kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka umeikosoa vikali serikali ya Kenya Kwanza kwa kushambulia maaskofu wa kanisa katoliki kufuatia kauli yao kuhusu hali halisi ya taifa. Akizungumza na wanahabari, Kalonzo amewakaribisha watu wenye mawazo sawa na kundi lake la upinzani kuungana nao katika juhudi za kuunda serikali ijayo.